Toa Kontena Lako Bila Kulipa Deposit kwa Hatua 5 Rahisi! šļøš¦
- imaxmillan
- 4 days ago
- 1 min read

Je, unajua jinsi VCS inavyokusaidia kurahisisha biashara yako ya ugavi? Huu hapa ni mchakato mzima tangu kujisajili hadi kukamilisha utoaji wa mzigo:
1ļøā£ Jisajili:Ā Jaza fomu ya usajili na upokee 'username' na 'password' yako ya kuingia kwenye mfumo.
2ļøā£ Omba Huduma:Ā Unapohitaji kutoa kontena, jaza taarifa za DO kwenye mfumo na ulipie invoice ya huduma utakayotumiwa.
3ļøā£ Pokea Cheti:Ā Baada ya malipo, utapokea cheti maalum cha VCS kitakachotumika kwenye kampuni ya meli kutoa kontena bila deposit.
4ļøā£ Tunalipa Faini:Ā Ikitokea kontena limechelewa au kuharibika, sisi (Viaservice) tunalipa faini hizo kwa kampuni ya meli kwa niaba yako.
5ļøā£ Rejesha Kiasi:Ā Hatimaye, utaturudishia kiasi kilekile cha fedha tulichokulipia, jambo linalokupa muda wa kusimamia fedha zako bila presha.
Okoa muda na mtaji wako leo!
š² Wasiliana nasi kupitia WhatsApp: +255 745 540 190.



Comments